Lesson 1 of 0
In Progress

Unafanya shughuli gani?

“What do you do?” – unafanya nini? au shughuli gani?

“What do you do for a living?” – unajishughulisha na nini?

Unaweza kujibu kama ifuatavyo kulingana na kazi au shughuli unayofanya


I’m an engineer” – Mimi ni mhandisi
I’m a nurse “- mimi ni nesi
I’m a student” – mimi ni mwanafunzi
I’m a teacher” – mimi ni mwalimu
I’m a doctor “- mimi ni daktari
I’m a pilot” – mimi ni rubani
I’m between jobs at the moment” – mimi sina kazi
I’m an accountant” – mimi ni mhasibu
I’m a stay-at-home mom” – mimi ni mama wa nyumabni
“I’m self-employed.” – mimi nimejiajiri mwenyewe
“I own a small business,” – ninamiliki biashara
“I own a restaurant” – ninamiliki mgahawa
“Iam a freelancer “ – nimejiajiri mwenyewe kwa mfano,.. mwandishi wa habari wa kunitegemea
“I’m retired.” – mimi nimestaafu