Lesson 1 of 0
In Progress
Unafanya kazi wapi?
Where do you work? -Unafanya wapi? au unafanya kazi wapi?
Elezea ni wapi kwa mfano:-
I work at Disney – ninafanya kazi Disney
I work for Nike – ninafanya kazi Nike
I work in an office -Ninafanya ofisini
I work in a hotel – ninafanya kazi hotelini
I work in a factory – ninafanya kazi kiwandani
I work in London – Ninafanya kazi London
I work in England – ninafanya kazi Uingereza
I work in Finance – ninafanya kazi kwenye idara ya fedha
I work in medical field -ninafanya kwenye taaluma ya tiba
I’m in charge of training new hire -ninahusika na kufundisha wajiariwa wapya
I’m responsible for Greeting customers -ninahusika na kusalimia wateja