Self introduction
Unaitwa nani? – What is you’re name ?
You can respond by saying
Ninaitwa ..(jina lako_) , Iam ..(your name)
Jina lako ni nani? – What is you’re name?
response
Jina langu ni Peter – My name is Peter
Unatoka nchi gani? – Which country are you from ?/Where are you from?
Response
Mimi ninatoka Marekani – Iam from America
Unaishi wapi? – Where do you live?
Response
Ninaishi Dar es salaam – I live in Dar es salaam.
Unafanya kazi gani? – what do you do?
Responses
Ni mwanafunzi wa chuo kikuu – Iam a college student
Types of jobs or professionals
Mimi ni mhandisi – I’m an engineer
mimi ni nesi – I’m a nurse
Mimi ni mwanafunzi – I’m a student
Mimi ni mwalimu -I’m a teacher
Mimi rubani -I’m a pilot
Mimi ni mwanasheria – I’m a Lawyer
Mimi ni Mchungaji – Iam Minister
Mimi ni mwanamziki – I’m a musician
Mimi ni msanii – I’m an artist
Mimi ni mfanya biashara – I’m businessman/Businesswoman
Mimi ni mhasibu – I’m an accountant