Lesson 1 of 0
In Progress

Jinsi ya kujitambulisha

unatoka wapi na kazi yako


“Where are you from?” – Unatoka wapi?/unatoka nchi gani?


Iam from USA – Ninatoka USA


I was born in USA, but i grew up in Germany
I was born in USA- Nilizaliwa USA
but i grew up in Germany – lakini nilikulia Ujerumani


Iam originally from the USA, but now i live in Zanzibar
Iam originally from the USA- kwetu hasa ni Marekani/mzaliwa hasa wa USA
but now i live in Zanzibar – lakini kwa sasa ninaishi Zanzibar